Frequently Asked Questions - MASWALI YANAYOULIZWA SANA
QHow do I buy a car from Nikkyo company?
JINSI GANI NITANUNUA GARI KUTOKA NIKKYO ?
Firstly, you need to to register to our website, so that we can have your full information, you will then receive an ID and password which you will use them to login, Once this process is completed, you will be a new member, you can start to purchase any vehicles from us.
Kwanza, ilituweze kuwasiliana na wewe vizuri, utahitajika kujiandikisha kwenye mtandao wetu,ukimaliza,utapokea ID na Password utakazotumia kuingia kwenye mtandao wetu.mpaka hapo utakuwa ni mmoja wa wanachama wetu mpya, utaweza kununua magari yako kutoka kwetu.
QWhat is the difference between FOB, C&F prices?
NI NINI TOFAUTI YA BEI YA FOB NA C&F?
FOB (Freight On Board)
The buyer takes responsibility for the transport cost and liability during transportation.
C&F (Cost and Freight)
The seller/exporter must pay the cost and freight necessary to bring the goods to the port of destination.
FOB hii ni kuwa Mnunuzi kuchukua jukumu la kugharamia usafiri na mambo mengine yeye mwenyewe.
C&F hii ni kuwa Muuzaji/ Msafirishaji ni lazima alipie gharama zote na kuhakikisha mzigo umefika bandari uendapo.
QWhat are the available payment methods?
JE NI NJIA GANI NINAWEZA KUFANYIA MALIPO?
We accept payments in the following forms.
1) TT (Telegraphic Transfer)
2) L/C (Letter of Credit)
3) VISA CARD, AMERICAN EXPRESS, PAYPAL
Credit cards are accepted from the countries where they are used, the minimum amount is 10,000 YEN.
Tunakubali malipo kutoka katika njia zifuatazo
1) Malipo kupitia Benki
2) Barua ya mkopo
3) Malipo ya moja kwa moja mtandaoni
Kadi za mkopo zinakubaliwa kutoka nchi ambazo zinatumika, kiwango cha chini ni YEN 10,000
QHow long does it take to ship a vehicle from Japan to Tanzania?
INACHUKUA MUDA GARI KUSAFIRISHA GARI KUTOKA JAPAN HADI TANZANIA?
Shipping time may vary depending on port, but on average, it takes about 4-6 weeks.
Muda wa usafirishaji unategemeana na bandari lakini kwa wastani huchukua wiki 4-6 gari kuwa bandarini Dar es Salaam.
QWhen will my vehicle be shipped to Tanzania?
LINI GARI YANGU ITASAFIRISHWA KUJA TANZANIA?
The Estimated Departure date (ETD) will depend on the confirmation of your payment and the shipping company’s schedule. Your sales agent will update you once your order and payment has been confirmed.
Usafirishaji wa gari lako, utaanza mara moja tutapapopokea malipo ya gari lako.Tutawasiliana na kampuni ya ukaguzi na kampuni ya usafirishaji kupata nafasi ya haraka ili kupata nafasi katika meli inayofuata.Muuzaji wako atakupa maelekezo Zaidi.
QHow trustworthy is your Company?
KWANINI NIIAMINI NIKKYO?
NIKKYO has been an approved member of JUMVEA( Japan Used Motor Vehicle Exporters Association) for over 20 years.
Nikkyo imethibitishwa na Jumuiya ya wasafirishaji wa Magari Japan kwa zaidi ya miaka 20.
https://www.jumvea.or.jp/members/Nikkyo-527